Wapi pa kuuza madini ya Rodlite na bei gani kwa Dar?

Naulizia wap naweza pata soko la madini ya rodlite na yanauzwa bei gan


= rhodolite

rhodolite-garnet.jpg


Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
 
Dar hakuna soko wala wanunuzi wazuri....nenda kauze Nairobi.....
Rhodelite rangi ya spirit colour kuanzia high caboshon hadi semi gem Ina bei nzuri sanaa...

Ova
 
Dar kwa Sasa hakuna wanunuzi wa madini waliyokuwepo wote ni longolongo
Kama unamzigo mzuri rhodelite rangi ya spirit colour nenda kauze nairobi

Ova
 
Back
Top Bottom