Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.

Huo ni ukweli kabisa FF. Kuna kitabu cha field officer wa Mosad who defected kinaitwa By Way of Deception. Its a good reference book
 
Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?

Usipate shida Mwanakwetu................Tembelea Ufukwe wa Bahari ya Hindi kutoka kusini hadi kaskazini ukikuta sehemu panaitwa MBUZI BEACH utatakuwa umefika muulize yeyote utakaekutananae...........

MY WORD IS MY BOND............
 
Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?

Mkuu kwa taarifa za ghafla baada ya kuuliza jamaa wa kwenya mtandao wanasema ni pale chamwino Dodoma, anyway let me find more information
 
Nadhani ukisoma kozi za saikolojia ukachanganya na fani au taaluma yako yako iwe ni sayansi, uhasibu, sheria mchumi basi unaaweza............

Nimesikiliza na kutazama lecture hizi za bure za Prof Sandel wa havard youtube nikahisi hivi ndivyo wanaintelijensia wawanaanza kutayarishwa
Siiliza hii lecture number 1 ya MORAL SIDE OF MURDER

Zifuate lekcha nyingine zaidi ya 10 youtube
 
Last edited by a moderator:
Intelligency na polisi ni vitu mbali mbali ingawa ndani ya polisi wamo watu wa intelligency, mimi nataka kuacha njoo uzibe nafi yangu.
 
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.

ni kweli, it is just common sense, you only need to be curious, usiwe mvivu wa kufikiri.
 
Unapenda umbea umbea! Anza na hizi
Ukipata habari yoyote ya umbea, tumia 5W's kuichambua then ni pm nitakupa maelekezo ya wapi uiwasilishe. Na huo utakuwa mtihani wako wa kwanza kwa kipindi ambacho ni unspecified mpaka hapo utakapopata maelezo mengine.
5W's = what, where, when, why & who?
 
Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?

Samahani sijakusoma vizuri mkuu maana kuna aina nyingi za intelligence kama vile military, political, economic, social, environmental, health, and cultural.
 
sasa wewe huna kazi ya kufanya? unajihangaisha bure na mambo ya ajabu ajabu... wenzako walioko huko wanatafuta kuchomoka ila tu kwa sabab walishajichanganya na kuapa...
 
Back
Top Bottom