Wapi nitapata kazi kama Mtafsiri wa lugha ya kiitaliano/Italian translator

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,785
441
Heshima kwenu wakuu,
Tafadhari naombeni kwa anayejuwa ni wapi au kampuni ipi wanahitaji mtafsiri wa lugha ya kiitaliano, mimi ni mzungumzaji na mwandishi mzuri katika lugha hiyo.

naomba kuwasilisha
 
Heshima kwenu wakuu,
Tafadhari naombeni kwa anayejuwa ni wapi au kampuni ipi wanahitaji mtafsiri wa lugha ya kiitaliano, mimi ni mzungumzaji na mwandishi mzuri katika lugha hiyo.

naomba kuwasilisha

Mkuu nenda kudu safaris wanafanya kazi sana na wataliano ila inabidi uwe na knowledge ya suvage kidogo
 
Back
Top Bottom