Wapi nitapata huduma ya psychotherapy hapa dar

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,815
4,861
Heshima kwenu wakuu, nahitaji kumuona psychotherapy hapa dar nitampata wapi.
 
Guys mko kwenye mgomo nini mbona kimya jamani duh
 
Unamaanisha physiotherapist?
Agha khan na Tz Heart institute wanao. Muhimbili ilikuwepo pia...
All the best
 
Maeneo karibu na ubalozi wa marekani. Ukiwa unatokea Namanga kabla hujafika ubalozini mkono wa kulia utaona bango lao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom