Asante ngoja nijaribu.download utorrent setup kutoka Free software downloads and software reviews - CNET Download.com ,
install hicho ki-software kisha bofya hapa http://zoink.it/torrent/D1F31AFE60B198A6409308437160FA76B5211F4A.torrent
ili uweze ku-download hiyo Virtual DJ v7.
Good luck.
Kama upo arusha ni-MP tukutane jioni hii, nikupe mkuu!
Unaweza kupata kwenyetoorentsite.Mojawaponi hii maarufu duniani thepiratebay.se . Just type virtual Dj then chagua yenye seeders wengi na yenye comment zinazoridhisha.....Naomba mwenye ufahamu wapi nitapata hii virtual Dj version 7 anifahamishe iwe link ya kudownload au la!
Babaubayausiwe hivyo acha Ubaguzi wa mkoa ( teh teh teh )
Inamaana mtumizi ya internet kikomo chake ni jf tu. Hivi sasa tunasema Dunia imekuwa kama kijiji(global village ) sababu haijalishi mtu uko wapi.With just a click kama ukimua hata mtu wa kigoma unaweza kumpatia .
kuna file sharing kama Mediafire , 4shared Googledocs hata Jf store na nyingine.
Unaweza kupata kwenyetoorentsite.Mojawaponi hii maarufu duniani thepiratebay.se . Just type virtual Dj then chagua yenye seeders wengi na yenye comment zinazoridhisha.....
BTN
Unaweza pitia pia tovuti hii ya top ten reviews ujue DJ mixing software nyingine mbadala na zinalinganishwa vipi na Virtual DJna features zake