Wapi nitapata fundi wa Nintendo Game na IPOD

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,481
14,325
Habari wana JF, naomba kwa yeyote ambaye anaweza kunielekeza wapi nitapata mafundi wa ipod na Wii Nintendo Game

Tatizo la Ipod,

Ilianguka ikawa haiwaki kabisa na ukiweka kwenye umeme inakuwa inatoa mlio na vile vile kuna ipod ya rafiki yangu alijaribu ku restore to default. ikakubali lakini mara baada ya kumaliza ku restore ikawa haitaki kuingiza tena nyimbo.

Tatizo la wii Nintendo.

Ilianguka nahisi tatizo lipo kwenye DVD rom yake.

kama kuna mtu ni mtaalamu anaweza kunipa maelekezo wapi nitampa au kama anaweza kunielekeza wapi nitapata mafundi. naomba anisaidie, asanteni.
 
Hebu nenda pale Shoppers Plaza ghorofani kuna duka la baniani mmoja kibonge anauza na kutengeneza vifaa vya electronics hapo ukipanda ngazi kuanzia kushoto ni duka la mwisho kutoka kwa Dry cleaner ,

Lakini ujiandae kwa bei kubwa ila huyo jamaa ni fundi si mxchezo tatizo ana bei ya kupitiliza anapotengeneza vitu
 
Hebu nenda pale Shoppers Plaza ghorofani kuna duka la baniani mmoja kibonge anauza na kutengeneza vifaa vya electronics hapo ukipanda ngazi kuanzia kushoto ni duka la mwisho kutoka kwa Dry cleaner ,lakini ujiandae kwa bei kubwa ila huyo jamaa ni fundi si mxchezo tatizo ana bei ya kupitiliza anapotengeneza vitu

Shukrani mkuu, nitaenda kumcheki..
 
Hebu nenda pale Shoppers Plaza ghorofani kuna duka la baniani mmoja kibonge anauza na kutengeneza vifaa vya electronics hapo ukipanda ngazi kuanzia kushoto ni duka la mwisho kutoka kwa Dry cleaner ,

Lakini ujiandae kwa bei kubwa ila huyo jamaa ni fundi si mxchezo tatizo ana bei ya kupitiliza anapotengeneza vitu
Yule mwarabu hayupo serious leo nimeenda na ipod touch 5th generation ki switch cha sehemu ya kucharge kimeingia kwa ndani namuuliza bei ya ku repair ananiambia dola 400. Yaani repair cost inazidi gharama ya ipod yenyewe
 
Duh, hatari hiyoo
 
Back
Top Bottom