Wapi Nchimbi?

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,788
14,868
wanajanvi, nchi iko rehani kiuisalama. matukio ya hivi karuibuni yasikitisha, nilitegemea dr angetoa tamko lakini kimya au kwakuwa hana uhakika na msimamo wa ndani wa boss wake katika hili?
 
Ataunda kamati kuchunguza...
1.kuuwawa kwa kamanda Barlow
2.kutekwa na kupigwa kwa Dr Ulimboka
3.kuchunguza kiwanja kilichotekwa na kundi la sheikh ponda
 
Hana jipya kwani anajua ni mipango yao kutupummbaza wananchi tuusiwaze vile CCM wanavyopora nchi yetu.
 
Back
Top Bottom