Hao uwa ni watu wa oppotunity!nadhani kwa sasa wapo busy kumnusuru mbatia asipinduliwe,kumbuka hicho ni chama cha mapinduzi ya viongozi.Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu.Sasa tumeingia wiki ya mwisho,,Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?
Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu.
Sasa tumeingia wiki ya mwisho,,
Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?