Wapi naweza pata walimu wazuri wa masomo haya?

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,812
Hi,

Natafuta walimu wa masomo ya Computer. Topic zenyewe ninazohitaji pata ufahamu zaidi ni LAMP (Kwa ajili ya web based Database)

yaani:

Linux
Apache
MySQL
PHP

Kama kuna mwanajamii anayejua sehemu wanayofundisha masomo haya, naomba anifahamishe.

Natanguliza shukrani za dhati.

Nyati
 
Unahitaji kujua au unataka na cheti? Najua mtu ambaye anaweza kukufundisha kama uko TZ ana charge 100USD/Hr. Kama unamuhitaji pm plz.
 
Unahitaji kujua au unataka na cheti? Najua mtu ambaye anaweza kukufundisha kama uko TZ ana charge 100USD/Hr. Kama unamuhitaji pm plz.

Bei nzuri sana hiyo, 100usd/hr!!!!!! wapi na mm niache kazi zangu nije nifundishe?
 
Unahitaji kujua au unataka na cheti? Najua mtu ambaye anaweza kukufundisha kama uko TZ ana charge 100USD/Hr. Kama unamuhitaji pm plz.
Hebu kuwa realistic mkulu......hata huko watumiao hizo fedha wenyewe hawachaji kiasi hicho....
 
Back
Top Bottom