Wapi Naweza Pata KitiMoto Nikiwa Mjini Mtwara?

Kwa Kavishe Shangani, hapo nilikula kitimoto miaka yote nilipokuwa Ntwara. Jaribu hapo mkuu.
 
Hallow Mtwara!
Nataraji kuwa Mtwara Mjini kuanzia Tar.25 September Mungu akipenda! Ni mara yangu ya mwanzo kufika Mtwara.
Kwa yeyote anayejua maeneo mjini Mtwara ambako naweza kutembelea japo na kupata burudani na Udirinki kiasi baada ya kazi na hasa siku za mwisho wa juma anakaribishwa kutoa maelekezo kwa nia njema! Bila kusahau maeneo yanayopatikana Mdudu! (kiti na moto)
Napendelea sehemu za gharama inayoendana na kipato changu cha wastani. Kifupi najikuna ninapopafikia!
Nawachilicha!
MKUU,ULIFANIKIWA
 
Back
Top Bottom