wapi naweza kupata telescope.. naihitaji jamani mwenye nayo au wapi naweza ipata?

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
wadau,habarini za wikiend
mwenzenu natafuta telescope ya kununua mitaani wapi naweza kuipata? mwenye nayo au anayrfahamu wapi naweza kupata aniPM au anipe namba za simu na bei yake
JF daima
 
Usijeitumia kwa matumizi ya Kigaidi tu... Umenikumbusha nina Binocular yangu sijaitumia kama miaka kumi hivi lol Next year Nitatia Timu Arusha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom