Mkuu wanauzwa kuanzia laki mbili, hapo vikiwa na miez miwili, ikizidi na pesa inazidi, mi nlinunua mbez msakuzi, sehem 1 panaitwa kwa mgogo, cna no yao ya cm, ningekupa uwatafte.
hivi si nilisikia polisi huwa wanao.......wanawauza....?
mkuu ngoja tukutangulize, utatupa feedbackAhsanteni kwa msaada wa maelezo na mawasiliano mliyonipa, kumbe ni wengi tunawahitaji. Nitatoa jibu nikifanikiwa kuwanunua
Hao mbwa dar wapo wengi,ila bei yake si chini ya 250,000 hadi 300,000 pia usikubali kumnunua mbwa aina ya Germany sherpher bila kuona wazaz wa hao mbwa!kupigwa changa la macho ni nje nje!kuna mbwa breed flani hivi wanaitwaga breed ya iringa,wakiwa wadogo huwez kutofautisha na GSP.
So muwe makini msije mkaingizwa mjini!
Kijitonyama pale barabarani wamepangwa daily wanauzwa.