Wapi naweza kupata bidhaa hii?

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Wanajamii nauliza wapi naweza kupata juice concetrate za ladha mbalimbali hapa tz,yeyote anayefahamu anijulishe
 
Azam industries

Hapo ndipo unaweza kupata ya uhakika, iliyoandaliwa kwa usafi tena kwa kuzingatia viwango vya ubora vya kimataifa, kwingine unaweza kushtakiwa hasa kama utasafirisha ulaya ujiandae kushtakiwa kwa kuuwa watu kwa uchafu.
 
je hayo makampuni yanawauzia wajasiriamali wadogo,mimi nataka kufungua kiwanda kidogo cha juice
 
Back
Top Bottom