Wapi naweza jifunza vifaa vya mziki dar es salaam?

mkulasi

Member
Jul 22, 2016
16
11
Habari,
Nataka kuanza kujifunza vifaa vya mziki kama guitar na kinanda, wakati wa jioni kuanzia saa moja usiku kuendelea.
Naomba ushauri wa wapi naweza pata mwalimu au shule ya namna hii hapa dar kwa bei ambayo sio ghari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom