BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Mkuu ni pm nkukutanishe na mkurugenz mkuu wa shrika fulan hapa Tz anajua michongo ming sana na yenye faida
Yani huyo Mkurugenzi wa shirika fulani atasaidia nini? yeye anataka idea basi.
Mkuu ni pm nkukutanishe na mkurugenz mkuu wa shrika fulan hapa Tz anajua michongo ming sana na yenye faida
Yani huyo Mkurugenzi wa shirika fulani atasaidia nini? yeye anataka idea basi.
m/mungu!!!!!!
Usile wala usitoze riba!!!
Rafiki kwa interest ya 2 % ya benki zetu kwa mwaka, kwa mwezi anapata mil 1.66 tu. Hiyo ni pesa kidogo sana. Kama yuko DAR benki pekee yenye interest kubwa kwa savings account ni Dar es Salaam Community Bank (DCB), ambayo inatoa 5 %. Na kwa pesa yake hiyo anapata mil 4.166 kwa mwezi angalau hiyo kama hana matumizi makubwa sana.
Exim under circumstances wanapiga hata 8%. Clean money.
Mkuu send your contact here luismy2k@gmail. we will chat more about this issue.
Mkuu ni pm nkukutanishe na mkurugenz mkuu wa shrika fulan hapa Tz anajua michongo ming sana na yenye faida
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
Mimi nadhani wana jf kinachotakiwa ni kumuelekeza wapi anaweza kupata faida kwenye pesa hiyo.kimsingi mimi nadhani ukiwekeza pesa hiyo katika ufugaji whether wa ng,ombe wa maziwa au kuku wa kienyeji,nadhani ndani ya miaka mitano wewe ni bakhresa.
Afungue co then afanye export ya masalia ya wanyama pori,ngozi,mifupa,pembe.wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
Kuna bonge la shamba linauzwa, lipo kiji cha kidimu kibaha. Hekari 100 bei ni M500. Hiyo hela yake akishapata eneo kubwa kama hili ndio atajua awekeze nini. Eneo hili halifai kwa kilimo sababu kumeshakuwa ni mji.