Wapi mmenionea Bishanga?

I miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.

1381555643006.jpg
kamera zimemnasa huku....
 
Akaah ati mi nashaukwa! Hahaha afu shem usinifundishe matusi.
Shem nakuona unavyoshauka!
Bingwa leo karudi toka safari !
Basi parra lenu la leo balaaa!
Hata yule Pweza wa worldcup hawezi tabiri hilo game lenu , mshindi nani!
 
Bishanga rudi nyumbani banaaa! Hata ukimpeleka dokta mahakamani majibu hayawezi badilika!
 
Last edited by a moderator:
wewe kaka ndo nini kupotea kiasi hicho nakutufanya
tukutafute kila kona nchi hii maana hadi znzPic.gif
hatukukupata ulijichimbia wapi wewe dady watu8 kakutafuta wapiiii?
au ulibanjuka kwa fastjet ungo? kama hii :plane::plane::plane:
Hahahahaaa kweli aisee maana hakuna busara mule eboo
 
Last edited by a moderator:
Bishanga baada ya kukuta damu ina mushkeli alipopima ngoma juzikati sasa anapata ushauri nasaha na ameahidiwa kupelekwa kule yule jamaa yetu huwa anaenda kubadilishwa damu mara kwa mara. (mwenye akili na aelewe) Hilo ni tatizo la kwanza, la pili ni kuwa jamaa kapigika ile mbaya.....Mtaji umeisha ni-noumer ile kinoumer.:yo:mad:The Secretary hama fasta b4 is too late. Halafu Erickb52 alikuwa anakuulizia sanaaaa kuhusu....:A S-heart-2:

Arushaone i am watching you!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom