Wapi mmenionea Bishanga?

Bishanga baada ya kukuta damu ina mushkeli alipopima ngoma juzikati sasa anapata ushauri nasaha na ameahidiwa kupelekwa kule yule jamaa yetu huwa anaenda kubadilishwa damu mara kwa mara. (mwenye akili na aelewe) Hilo ni tatizo la kwanza, la pili ni kuwa jamaa kapigika ile mbaya.....Mtaji umeisha ni-noumer ile kinoumer.:yo:mad:The Secretary hama fasta b4 is too late. Halafu Erickb52 alikuwa anakuulizia sanaaaa kuhusu....:A S-heart-2:
 
baby love The secretary,nisamehe bure sijakuaga,achana na hawa wanga kina Arusha one,kwanza hakuna waoga wa kupima kama njemba za arusha.
Obama aliniita ghafla nikaipige jeki kampeni yake,leo ndo nimetokea minnesota.Kesho nitakuletea zawadi zako ikiwemo ufunguo wa cadillac na saa ya gucci.
I love you baby.
 
Last edited by a moderator:

wewe jamaa ni balaa kwa uongo,mara ya mwisho si nimekukuta kituo cha polisi Mbezi kwa Yusufu wamekupeleka watu wa FINCA unadaiwa mil.5 afu hapa unajifanya kutaja minnesota.unakopa vihela vya watu afu unafanyia matanuzi?
 
Last edited by a moderator:
baby love The secretary,nisamehe bure sijakuaga,achana na hawa wanga kina Arusha one,kwanza hakuna waoga wa kupima kama njemba za arusha.
Obama aliniita ghafla nikaipige jeki kampeni yake,leo ndo nimetokea minnesota.Kesho nitakuletea zawadi zako ikiwemo ufunguo wa cadillac na saa ya gucci.
I love you baby.

nilijua tu baby obama hawezi kukuacha kwenye kampeni unavyomuuzia ndizi tamu hivyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom