Haujui yuko Nje anatembelea Balozi zote za Tanzania kula pesa za nchi na hapo hapo kukagua balozi? wakati ni huu,
anajiamulia chochote Utamu ndio huo kwahiyo ni miezi miwili na alikuwa nje mwezi mmoja uliopita, yaani wanakula pesa za
nchi kama zao.
Wanasema aliondoka Juni 26, siku ambayo Ulimboka ametekwa. What a coincidence? Je, anahusika na hujuma hizo? Tafakari.