Wapi Lizzy...???

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Nahisi ku-miss kituflani ninapoikosa michango ya huyu mwanadada, kunamtu mwenye habari kuhusu Lizzy jamani???
 
Mchungaji naona kondoo umeamua kumweka kwapani!!! hahahaaa, umenikumbusha enzi za mchangani mkizidiwa tu mpira kwapani :rant::rant:
 
Leo nimeona post ya member kwa ID ya LIZ SENIOR, nikadhani ni yule yule Lizzy kaamua kubadili ID.
 
Back
Top Bottom