Wapi Le baharia, Mgogo wa mamtoni, Wapi Papaa wa NY?!!

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Chief, uliporudi bongo ulikuwa na swaga za ajabu kweli, uliponda sana wabongo wasiotaka kurudi Tz, pia ukaponda waliobadili uraia, ama kuwa na green card, chief tulijua ni maneno ya mkosaji maana haingii akilini kwamba hukupenda kuwa na cha kijani mkuu! pole bana, naona umekuwa JK part 2 ila wewe umekuwa mtalii wa ndani, pole bana
Mambo yakiyumba tukumbushe tukuchangie mpiga box mwenzetu usione soo jombaa.
Kama vipi check na maza akakuombee kazi kwa bakhera nae si ana meli na boti maana ndo taaluma yako

Pole bana bongo halisi ndo unaiona sasa, your longlife friend kakutosa hata ukuu wa wilaya!
 
si wote wasemao bwana bwana wataona ufalme.

Nilidhani haya maneno yatakuwa Tandale tu, kumbe hata huko mmebobea?

Halooooo, mwanamme kuvishwa dera ishakuwa suna?
 
Kwani mnamchana hivi kisa kakosa east africa tu. si unajua mida hii kawa mtoto wa mama.
 
yuko anafanya mikutano na wabunge vijana wa ccm akiwaeleza wajiunge na jf! Ha ha ha!
 
si wote wasemao bwana bwana wataona ufalme.

Nilidhani haya maneno yatakuwa Tandale tu, kumbe hata huko mmebobea?

Halooooo, mwanamme kuvishwa dera ishakuwa suna?

haloooo....supu haina ukoko babu weee....ngozi ya kuku haiwambwi ngoma.....watajijuuuu.....
 
Back
Top Bottom