Wapi Kununua Gaming Systems?

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Nataka kujua kama Mtu yoyote anajua wapi nitapata Xbox 360 Gaming System
Kwa bei nzuri na nafuu hapa Dar es Salaam?
 
We niambie unauza shillingi ngapi ?Bei naffu nimemaanisha bei nzuri tu sasa we nimabie plz unauza shillingi ngapi?
 
Omari hapa niko na PS2 na XBOX 360 na games nyingi sana. Mimi ununua hapa UK kisha ninazituma Nairobi. Let me know your needs.
Asante
 
Back
Top Bottom