Wapi Hemedi siku hizi?

Status
Not open for further replies.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,nauliza yuko wapi na anafanya nin huyu superstar wa bongo,kijana handsome,anaependwa na totoz za ndani na nje ya nchi{hemed Phd},sijamsikia muda mrefu,au nae keisha amua kustaafu music na kwenda kugombea ubunge?
 
Senator huyu jamaa kitambo sana hata mimi sijamsikia ila watu wake wa karibu wameniambia yupo b hitz anarecord nyimbo zake mpya!soon ataitambulisha single yake iitwayo mama kimbo akimshirikisha mabeste!
 
dah!huyu jamaa me namkubali sana,japo wabongo wengi wamekua haters kwake.
 
hii mama kimbo ni kwamba nimeisikia na kuiona au naota jamani?

Inaweza ukawa umeisikia ila haikuwa officially released shosti!...karibu uhuru park upate supu ya utumbo hapa!....video ya mama kimbo is on the way
 
Senator huyu jamaa kitambo sana hata mimi sijamsikia ila watu wake wa karibu wameniambia yupo b hitz anarecord nyimbo zake mpya!soon ataitambulisha single yake iitwayo mama kimbo akimshirikisha mabeste!
Kwa nini usiseme tu nipo. Nafikiri aliyeuliza swali hakujui kuwa ndiye! Mtawatambua kwa matendo yao na majibu yao.
 
Leo umenifumbua macho Ruby naanza kuamini kwamba huyu ndiye yeye.
Naanza kuunga dots za comments zake na post nyingi naona kuna asilimia kubwa ndo yeye.
 
Asante moda kwa kuondoa ule upuuzi wa memba mmoja aliyemtusi Hemed. Binafsi sikupendezewa na komenti za namna ile
 
Wakuu,nauliza yuko wapi na anafanya nin huyu superstar wa bongo,kijana handsome,anaependwa na totoz za ndani na nje ya nchi{hemed Phd},sijamsikia muda mrefu,au nae keisha amua kustaafu music na kwenda kugombea ubunge?

Hana cha kufanya.Yupo tu mjini anauza sura.
 
cdhani ulisemalo ka lina ukweli mkuu,superstar ka yule hawezi kukosa kitu cha kufanya hapa mjini.me naamini,kimya chake kina mshindo,huko aliko atakua anafanya mambo ambayo yatakuja kukonga nyoyo za mashabiki wake.
 
umejifunza lini uongo weye..subiri kitu cha mama kimbo ndo utajua kama anauza sura au la!

Roger that shosti muleze huyo local!!!haters bana wanaacha kuwapa moyo wamejiajiri wanabaki kukandia!!!dogo anaishi kwa kipaji chake na daily yupo busy na kazi zake halali aidha studio au location....mama kimbo has already been released na sasa movie mpya THE WAITER itafuata....
 
mkuu,tutambulishane kama we ndo hemed mwenyewe.it seems unajua mambo ya huyo suparstar wetu mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom