Wapi First Lady??

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Jamani nimemkumbuka sana First Lady wetu Salma Kikwete........sijamuona siku nyingi sana na si kawaida yae kutong'aa habarini kwa muda wote huu........ama badu kuna tetesi za hapa na pale mjini hapa.......kuna mwenye ujuvi wowote atujuze???



salma_chenge.jpg
 
WAMA haina jipya ndo maana haonekani .alafu alifanya promo last half ya mzee so sasa hivi hamna haja ya promo maana mzee anaenda kuachia ngazi kwa vyovyote vile
 
WAMA haina jipya ndo maana haonekani .alafu alifanya promo last half ya mzee so sasa hivi hamna haja ya promo maana mzee anaenda kuachia ngazi kwa vyovyote vile
kuna kapointi una-kamiss
 
Kaenda kuongeza elimu baba akimaliza muda apate japo ukuu wa mkoa wa Pwani
 
kati ya haya,moja linamuhusu:kaenda kusoma,'kaongeza familia',wana bifu na baba wa familia,.....who can add possibilities?
 
Anasubiri mabatiki ya kutoka iran yenye nuclear awe wa kwnz nchini.Kampeleka Mwanaasha unyago unyamwezini.
 
nilimwambia asile alikula akavimba ....nimeusahau huu wimbo wa ali kiba.
 
Analea, c unajua malezi inabidi utulie. ngoja nimsms nijue lini ataapper kwa public, nitawajuza.
 
Keshaanza kutoka...nimemuona akiwa presidaa mlima kilimnanjaro walakini yeye hakupanda hata hatua nne
 
Back
Top Bottom