wapi fiesta 2012

Taifa kuna nini Remmy? Tushirikishane basi wandugu...

Kuna tamasha linaitwa la matumaini. Mechi kibao za kufa mtu, simba Na yanga za Wabunge, bongo movie Na bongo flava, Ngumi Francis Cheka sijui Na nani? Wanamuziki Nimewasahau ila nnachomaind Diamondo atakuwepo. Ngumi Kati ya Wema Na Wolper. Yaani ni full burudani.
 
Last edited by a moderator:

Hivi kumbe ndo kesho? Ayaaa......nahisi kama litanipita vile manake nilikuwa nishasahau kabisa!
 
Watu wa kujirusha utawajua tu.

wana alama kichwani au? hv kuulza kt ni lazma uwe unakifanya. kwan wanaouliza hbr za mashoga, kula tigo ama vitu km hvo huwa wanavipractice ama huwa wanataka kuelewa? tafadhal Young _Master ucnijudge vby!
 
Last edited by a moderator:
wana alama kichwani au? hv kuulza kt ni lazma uwe unakifanya. kwan wanaouliza hbr za mashoga, kula tigo ama vitu km hvo huwa wanavipractice ama huwa wanataka kuelewa? tafadhal Young _Master ucnijudge vby!

No...my dear charminglady. I was just kidding. dont take it too seriously. Kama nimekukosea am sorry
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom