wapi fiesta 2012

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habhari zenyu binafsi!
wanajamvi wapi fiesta 2012? mwenye data zaidi atumwagie. . .
 
HEEE INA MAANA HAKUNA MWENYE DATA JAMANI.............:A S-baby::baby::baby::spy:
 
Mwaka huu itafanyika mfaranyaki songea kabla ya kuhamia mabatini mlango mmoja mwanza na baadae mnadani dodoma.
 
Magazeti ya udaku bado hayajatangaza.
asante kwa taarifa dada Remmy but co kila kitu kitangazwe kwny magazeti ya udaku ndo tujue, kuna vingine huanzia humuhumu jf ndo vikaenda kwenye mazageti .... oh kumbe ni magazeti, hapo nililkuwa nimemkumbuka dogo mmoja hivi ye alikuwa ana shindwa kutamka magazeti ana mazageti!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom