Wapi Dr Kitla Mkumbo wa UDASA na midahalo ya katiba mpya?

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Jamani nijuzeni mwenzenu. Nimekuwa nikisubiri midahalo ya katiba mpya ambayo iliahidiwa na wana UDASA chini ya Dr. Kitila kuwa itakuwa nchi nzima na tena itakuwa endelevu. Nimesubiri mtu aanzishe uzi huu lakin kimya. Vipi, what happened? Au walikatazwa na serikali? Au sheria ya mabadiliko ya katiba imewabana wasioe elimu kuhusu katiba. Plz, mwenye majibu anipe....!!!!
 
Kitila Mkumbo Mbunge wa Iramba Magharibi 2015. Ngoja nimpigie simu nimuulize alafu ntawapa jibu!

TUMBIRI wa JF
 
Last edited by a moderator:
Kwa kawaida ,hawa wanataaluma wa UDASA huwa hawakurupuki..nadhani wanajiuliza kama sheria iliyopitishwa na bunge,pamoja na mabadiliko yake ilizingatia maoni yao waliyapata kutua katika mihadhara yao.
 
Back
Top Bottom