Wapi David Kafulila sahihi yako hatujaiona

liverpool2012

Senior Member
Apr 4, 2012
102
23
Mbuge wa Kigoma kusini kwa tiketi ya mahakama hatujaona sahihi yako,inamaana unakubaliana na madudu yaliyo tendeka.
 
Haka kajamaa kanafiki kakubwa hakastahili kuwepo bungeni
 
Yaani kuna mibunge inatia kinyaa, yaani jitu linashindwa kusimamia linachoongea...ni kupiga risasi tu mi mbwa koko ya namna hii!
Samahani kwa lugha kali.. inatia hasira kwa kweli....

Hongera sana wabunge wote walitia sahihi, ninyi ni mashujaa wetu...
 
Tena rafiki yako zitto alihaidi kukupa kura yake ili upate ubunge. Kwa jambo zuri kama hili wewe umekuwa hovyooo!
 
Kwa sasa magamba ndio mkono unaomlisha, akijifanya shupavu tu kuung'ata mkono unaomlisha wanauondoa. Ila analo jukwaa la kujifunza kwa kamanda Lema ambaye anajua ukombozi hauletwi na kuwa mbunge tu hata nje ya hicho kimjengo inawezekana kuwaandaa watanganyika na ukombozi 2015. Posho za ubunge ni miaka mitano lakini ukombozi wa nchi yetu ni wa milele baada ya ccm kuzikwa
 
Surely you meant David Kafulila is a senior rapper,and not 'raper',
Huyu Kafulila hawezi kusema lolote kabla bosi wake hajamruhusu.
 
Anapumua kwa neema za magamba, naye ni Tumbo kwanza, vijana wa ukweli ni wachache sana, si umemuona J Makamba? Huu ni muda muafaka wa kuwachanganua!
 
Sio yeye tu na Agripina Zaituni Buyogela wa Kasulu vijijini sijaona kama alisaini.
 
Sisimizi tu huyo..ameshaingia line kwa mbatia akapewa probation ya kutofungua mdomo.ni mchumia 2mbo kama kigwangalah
 
Back
Top Bottom