CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
mpenzi charminglady shostito wako Elizabeth Dominic wapi? Anatafutwa na jamaa anayemfukuzia kiukweli ukweli
yupo huz, sema kazi zilikuwa zimemtite
Last edited by a moderator:
mpenzi charminglady shostito wako Elizabeth Dominic wapi? Anatafutwa na jamaa anayemfukuzia kiukweli ukweli
Kwani erick52b hajui alipo? Hawa wanafahamiana vizuri muda mrefu. Pia charminglady huwa anafahamu mienendo yake maana. . . .
mpenzi charminglady shostito wako Elizabeth Dominic wapi? Anatafutwa na jamaa anayemfukuzia kiukweli ukweli[/Q
Mbona simuoni akionyesha juhudi PM anakuja hapa kujilambalamba tu
Kwa pm nimejaribu bila mafanikio hujibu pm zangu nimeona bora niwetu muwazi kuliko niendelee kuumia nakupenda ndio maana nafanya yote haya
Nimeku miss charminglady. are u okay?
Alikua busy na msiba, unamtakia nini baby wa watu?
ni kweli kabisa, afu pia ule msiba ulimgusa sana kwani hata siku ya kutoa heshima za mwisho alizimia uwanjani!
ni kweli kabisa, afu pia ule msiba ulimgusa sana kwani hata siku ya kutoa heshima za mwisho alizimia uwanjani!
Nimepiga haipokelewi bana
Mtumie vocha atakupigia yeye,lol
mjini chuo kikuu wallah
Khaa vijana hamlali?
Niko pouwa mpenzi Sting
Cjui weweg
Mi mzima tu my love, za masiku??
Za siku nzuri tu mpenzi wangu.
Ila ule ujauzito wako nimeutoa kwani nataka kuolewa na mwanaume mwingine.
Nataka anikute 'mpya'.