wapi aliko mkuu huyu?

jamani najua mumeamka salama.namuulizia ELIZABETH DOMINIC yuko wapi nimejaribu kumchungulia humu ndani simuoni siku nyingi haonekani.mwenye taarifa zake tafadhali

Nikupe namba zake za simu umtafute?
 
Back
Top Bottom