Wapenzi wanapojeuka kua maadui

lila

Member
Aug 7, 2012
38
5
Hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn hasa sbbu
 
kwani wewe hujui?upendo unaopendwa siku ukigeuka kuwa chuki basi chuki hiyo huwa kubwa zaid kuliko upendo na ndivyo ilivyo.
 
Hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn hasa sbbu

Inategemea wapenzi hao waliachanaje! Kwa mfano, kama waliachana ktk hali ya amani kwa ndoa yao kuvurugwa na wazazi, ndugu nk hakuwezi kuwa na chuki baina yao, lakini imagine kuwa ndoa imevunjwa baada ya kugundua mmoja wapo alitaka kumtenda mabaya au hata kumuua mwenzake, unafikiri hakutakuwa na chuki hapo?
 
inategemea wapenzi hao waliachanaje! Kwa mfano, kama waliachana ktk hali ya amani kwa ndoa yao kuvurugwa na wazazi, ndugu nk hakuwezi kuwa na chuki baina yao, lakini imagine kuwa ndoa imevunjwa baada ya kugundua mmoja wapo alitaka kumtenda mabaya au hata kumuua mwenzake, unafikiri hakutakuwa na chuki hapo?

naunga mkono hoja % zote mkuu
 
i dont think ni lazma makubwa yote hayo yatokee ndo chuki iwepo,hata kukwaruzana kwa mambo ya kawaida ambayo sio ya kufikia hko kuuwana,,,bt kumbuka ni watu mlihaidiana mengi na kupendana kwa dhati,hufikirii kama upendo wa dhati hupaswa kuyashinda yote hayo insteady of having chuki?????Upendo wa kweli hushinda yote ama nakosea??
 
hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn hasa sbbu
there is a thin line between love and hate!
 
Tukio lililosababisha kuachana kwenu ndo litakaloamua future relationship
 
Chuki inatokana na tabia ya kutosamehe na ku-hang on. Huo moyo wako ukiwajaza waliokuudhi woote na hawalipi rent mbona utakosa mbingu? Inapasa kujua watu wakoje na kuwachukulia walivyo. Umemjua ni cheater, manipulative, uncaring(is this english?), and all that. Umegundua hakufai, achana nae. Ukikutana nae usichukie, mpe magic smile abaki anajishangaa yeye. Moyo wangu una nafasi kwa ajili ya niwapendao, ambao wako wengi!

Kama una-hate jipe muda. Wiki ni kubwa sana ku-drown in hate and hurt! Time heals the wounds. Move on quickly!
 
mmmh, watoto ndio huwa hivyo.

Nabisha. Mapenzi huwehusha watu bila kujali marika yao.

Majuzi kuna mama mmoja aliyekuwa katika love triangle kamuua mumewe, hawara wa mumewe, na mwisho akajiua yeye. Huyo mama alikuwa lawyer na mumewe naye alikuwa lawyer.
 
inategemea mliachana vipi ila kwa upande wangu nikiachana na mtu ndio basi tena sitaki mawasiliano hata kama tuna watoto tulikutana ukubwani bwana wakuniganda ni ndugu pekee wewe sio ndugu yangu bana .tena hawa ndio huaribu uhusiano wako mpya maana hujifanya wankujua kweli na kama wanadhamana na wewe.nikiachana na mtu sitaki mawasilianao,unaashum hatujawahi kukutana and i will never regret with spear tyre
 
amina!
 
Hii usababishwa na kuachana wakati mmoja hayuko tayari kuachwa!
 
Back
Top Bottom