Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Mimi nimekereka sana na ITV. Wamerudia ule upuuzi wao wa kupitisha matangazo kwenye maandishi wakati hawa waigizaji wakiwa wanaongea kikwao na hivyo kushindwa kueleaa kinachoendelea. Kwa nini hawapatishi hilo tangazo juu? Wanakera sana hawa ITV.

Kumbe c mimi tu niliyekerwa
 
Mtoto mkorofi pamoja na kuambiwa kuwa Calvin na Charlie wanadate bado kakomaa, ana bahati Pastor Gabriel ana maskendo kwa jinsi alivyo fisi maji asingepona

Kwani huoni kuna ligi tayari kati ya pastor na calvin japo najua calviN ndiyo atawin maana Aphiwe tayar anajilengesha na mshkaj naona anataka kuchangamkia fursa!juzi kamfokea charlie kwanini alimfwata Aphiwe akampga biti kuhusu kuwa close na calvin
 
Back
Top Bottom