Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

kale kadada jamani ni kazuri na rangi yake, kisura chake black is beautiful...kwa kweli. mimi ni mwanamke lakini nimeliona infact sinaga wivu wa kijinga..
kibongo bongo unakuta mtu na rangi kama ile anajichubua..
Of course rangi zao tamu sana nimemwona na Lerato pia chocolate colour flani hvi tamu kuitazama!
 
Of course rangi zao tamu sana nimemwona na Lerato pia chocolate colour flani hvi tamu kuitazama!
Leo pamechimbika kila mahali, kifo cha mbatta kimezua gumzo na hapa Naona sechaba anaingia kwenye matatizo. Huku Barker akimwambia pastor ukweli kwamba Nina alikuwa mtu hatari sana. Na Kweli hapa pastor anajutia kumfahamu Nina! Huku nako Sizwe amechanganyikiwa kuhusu kifo cha mbatta.
Wow Lincolin is happy... u can tell kwamba he is super excited....
 
Katlego nimependa hii hairstyle yake... she looks good...

Yaani she is happy now na vile anavyopenda kucheka... she is among my fav characters...
Mie hadi nimempiga picha nataka nikatengeneze ki wig kwa msusi wangu
5e12bb84cbd5b1fa07a0ec1fb9c66e76.jpg
 
Katlego nimependa hii hairstyle yake... she looks good...

Yaani she is happy now na vile anavyopenda kucheka... she is among my fav characters...
Hakuna mtu mbaya duniani aisehhh maana uzuri unauzwa madukani my dia, katlego wamebadilisha kabisa ati, na kweli anaonekana tofauti na amependeza kwa kweli she looks quite fine.....
 
Ataondoka dear... Lincoln atamuua na huo utakua mwisho wake kama Frank

Watu wanasepa
Ina maana atakwenda kumwulia huko wanakokwenda kutambikia au? Mbona anaonekana kuwa na furaha na kutoa smile ya nguvu? Haya Sechaba yuko keko kwa kuhusishwa na mauaji ya Mbatha. Je, watagundua mwuuaji ni Nina?
 
Back
Top Bottom