Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hahaha umemiss vingi hapo kati... Time kumuondosha katlego zilikuwa zimefika hata mimi ilifika mahala nimechoka namna katlego she was behave mwishoe akauwawa... Sema naona drama zimepungua kwenye isidongo baada ya kumuondoa katlego something little is missing.... Siunajuwa mazoea...
Hii kweli na Nikiwe arudi tu.
 
Nina anakosa character itakayo msumbua ukimtoa barker, Nina anapendeza sana anavyokutana na kichaa mwenzake wa kumsumbua
 
pole my ila hakuna cha maana sana ni mbwembwe za Gabriel kutaka kujionyesha kuwa karudi kwa kishindo na sizwe kapewa bill ya bia 24 kidogo ajikojolee
Hii ishu ya Sizwe kumnunulia kahaba bia ikimfikia Zukiisa sijui itakuwaje!
 
Hahahaha MCHUNGAJI KARUDI AISEEE Eddy anamwita pastor yy anajiita jina lake alisi hahahahahaha pastor bhn alafu kamsemo kapya alichokuja nacho ni ''penance''e
 
Back
Top Bottom