Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Jamani hivi Katlego ataokotwa lini?? Si watamuokota ameshaoza sasa atatambulika kweli?? Mbona hata mtu hapiti kule alipotupwa??
 
Moyo wake wa lion unaisha unaanza kuwa waswala! Soon atatoa siri maana damu ya mtu nzito! Mara oooh I'm in control basi tu skhu anashindwa kuunganisha dot.
Skhu kashahisi kuna kitu hakiko sawa na ndiyo anaenda nae hivyo hivyo,vile alivyokuwa anamfananisha dada wa watu na Katlego ndiyo aseme I'm in control wakati damu ya mtu ishaanza kumchanganya.
 
Comment yako imenichekesha sana mkuu, kwamba mbele ya pesa hakuna utata
Zukisa amepewa na platinum card ajimwage nayo siyo mchezo.

Nina pia anamwonea wivu na Zukisa anaogopa asimwambie Sizwe. Ndiyo mana hataki kwenda kule shebeen kusherehekea na mumewe.
 
Namkumbuka lolly mcharuko, barker akiwa amevaa lile chongo lake, ken, marehemu lee haines, vusi matabane, baada ya figisu za parson alimpata demu flani nimemsahau, wengine nishaisahau

nakumbuka iliishiaga THE BOLD AND THE BEATYFULL ndo ikaanzaga ISIDINGO zamani sana na utamu hauishi
yani acha tu, hii kitu isidingpo ni noma sana, barker na zamdela ndo ma legend, long time na bado wanakimbiza, too sad matabanes junior ma aggy na zeb wamesepa, ila bado iko the best mana zilikuepo nyingi passion, egoli, short land street, young and the restless, the bold and the beautiful, sunset beach, empire, days of our lives (CTN) zote zimechuja, ila kitu cha dingo bado kimesimama
 
Namkumbuka lolly mcharuko, barker akiwa amevaa lile chongo lake, ken, marehemu lee haines, vusi matabane, baada ya figisu za parson alimpata demu flani nimemsahau, wengine nishaisahau

nakumbuka iliishiaga THE BOLD AND THE BEATYFULL ndo ikaanzaga ISIDINGO zamani sana na utamu hauishi
zamdela ndo alikua anavaa patch sio barker, halafu papa G utozi kaanza long time, yani msela hadi raha, no wonder his grandson and his daughter nao wa kiselasela
 
Hata Barker ameshavaa patch alijikosakosa kujiua
 
Skhu kashahisi kuna kitu hakiko sawa na ndiyo anaenda nae hivyo hivyo,vile alivyokuwa anamfananisha dada wa watu na Katlego ndiyo aseme I'm in control wakati damu ya mtu ishaanza kumchanganya.
Sema pamoja na yote linc anaicheza vema sana ile move soft kiasi wengi huishia kudhani kweli kaachwa so sidhani kama atapotea sema Nikiwe ndie anaweza stukia mchezo ila Nikiwe ndie mafia zaidi maana anajua kupindisha mipira sana
Namngoja utasikia upapaaaa!weeena!
 
Umenichekesha sana
 
zamdela ndo alikua anavaa patch sio barker, halafu papa G utozi kaanza long time, yani msela hadi raha, no wonder his grandson and his daughter nao wa kiselasela

Barker aliwahi kuvaa patch na kujifanya haoni kumbe alikuwa anaona vizuri. Hapo ndiyo former wife Cherel alikuwa na affair na Lee (sikumbuki jina lake vizuri) mbele ya Barker kumbe mzee anawaona.
 
heheee, yani gaidi cherel na lee wa haines nawasikia sana, too bad sijawah kuwaona manake kipindi hiko nlikua boarding then chuo pia nikaenda mkoa mwingine (sio dar), so nilkikua n ikirud likizo hata siangalii, nilianza kuifuatilia tena kwa ukaribu baada ya kumaliza chuo, ila action zao nliziona kidogo you tube kwenye zile baadhi ya episodes za nyuma nyuma walizoziweka.
 
She is beautiful,wonderful n all the like kwa mwanamke kama yule na linc yuko lonely ni kujidanganya Zuki mzuri sana

Zuki mpaka ameamua kusali kwa bidii mana credit card imempa kichaa, masikini Sizwe asije kunyang'anywa zile fedha alizopata za upatu na wapambe wa Nina!

Mzee Linc naye anazidi kuchanganyikiwa na Zuki sijui kama hatombaka huko mbele ya safari.
 
Sizwe nadhani ataibiwa zile pesa tena mpango utakuwa umesukwa na Nina
 
sijaangalia Isidingo nina week ya 3. nahisi hadi January tena... nasikitika Katlego kutokuwepo tu
Hahaha umemiss vingi hapo kati... Time kumuondosha katlego zilikuwa zimefika hata mimi ilifika mahala nimechoka namna katlego she was behave mwishoe akauwawa... Sema naona drama zimepungua kwenye isidongo baada ya kumuondoa katlego something little is missing.... Siunajuwa mazoea...
 
Zuki mpaka ameamua kusali kwa bidii mana credit card imempa kichaa, masikini Sizwe asije kunyang'anywa zile fedha alizopata za upatu na wapambe wa Nina!

Mzee Linc naye anazidi kuchanganyikiwa na Zuki sijui kama hatombaka huko mbele ya safari.
Anaweza asimbake ila akakubali tu mwenyewe kwa hiari yake maana na Sizwe ni kama ameanza kutengeneza gape
Lerato na Munchie na uchezaji wao ule huwa napenda sana ukichaa flani wa Lerato na Sechaba wanachukulia life simple na bado wanapambana nayo siyo kwa shida sanaaa
 
Back
Top Bottom