Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Namkumbuka lolly mcharuko, barker akiwa amevaa lile chongo lake, ken, marehemu lee haines, vusi matabane, baada ya figisu za parson alimpata demu flani nimemsahau, wengine nishaisahau

nakumbuka iliishiaga THE BOLD AND THE BEATYFULL ndo ikaanzaga ISIDINGO zamani sana na utamu hauishi

Kabla ya Isidingo kulikua na Egoli..
 
Zukisa sasa maisha ya penthouse yanamlevya! Amechanganywa na mataa wala hana woga na heshima ya zamani kwa mumewe! Pesa kitu kingine anajiona kafikaaaa

Ni hulka za binadamu wote hasa wakike..
Acha nae aonjee utamu wa dyudu la Penthouse..
 
Sam banah she is atrick woman kaa mbali naye hatari kabisa, ameinunua akili ya Rajesh bila Rajesh kujijua, nimeona Sam alimtega na keki basi Rajesh kaingia mazima end of the day Sam was promoted to new duties hatariiii


nimependa ulivyomalizia hapo .....hatariii
 
ISIDONGO tamthilia tamu sana... hata kama hujaangalia mwaka mzima ukaja ukaziangalia episode mbili basi utamu upo pale pale na utaielewa.... nakumbuka alivyokufa jeffy nikasema wamemuondoa kichwa cha sibeko na alikuwa anacheza character nzuri sana lakini baada ya kifo chake episode zilizofuata utamu ukawa palepale Likewise sahivi kifo cha katlego ila itaendelea kuwa tamu tu maana tamthilia hii ni ngumu kutabili kitakacho endelea mbele... IsIdINGo ni kiboko

ni kweli kabisa, mie pia nilishiriki sana zile hekaheka za parsons na Nandipa then nikapotea kama matabanhe family huyo Jeff sijawahi kumuona hata kwa mbali. nimerudi mambo yako pale pale mwendo mdundo full utam.
 
Alafu huyo doctor jean mbona ana lalamika sana nakumbukua kipindi flan alikua na rasta zake alisepa bila kuaga na alivyo rudi alikua anaficha kuongea na ange Ila saiz linajidai lina hasira nakutaka Ku force vitu

lina nikera sana. calvin sifikiri anamtaka au kumtamani anji...ila mambo ya huyo jo maki yatamfanya anjii aamue tofauti na kumpa tunda calvin. subiri
 
lina nikera sana. calvin sifikiri anamtaka au kumtamani anji...ila mambo ya huyo jo maki yatamfanya anjii aamue tofauti na kumpa tunda calvin. subiri
Mbona kama Cal kapotea na drug ila ukweli ni kwamba walikuwa wanaenda siko inabidi kukubali gharama za mahusiano jama huwezi ukatoa kipaumbele kwa mtu mwingine wa rika la mpenzi wako afu abaki anatabasamu
 
Jamani jana ilikuaje?
Zukisa ameanza kumpandishia Sizwe na kuanza kumpenda Linc(Linc anamuita Zuki) inavyoonesha mda si mrefu atateleza.
Cal ndio drug kwa kwenda mbele.
Skhu kachimbwa bit hakuna kwenda New York.
Na Mengine ni ya Mtoto mzuri Sam na Rajesh
 
Duh huyu Zukiza kwann asitulie akaliwa .maana aneishapewa credit card ya sibeko Gold yeye anazunguka nayo kuwaonyesha wenzie.ila kimeumbika vizuri huko nyuma jaman we acha tu
 
Naona lincolin kafanikiwa kushawishi S asiondoke...lakini soon atasema kuwa amemuua Kateglo.
 
Zukisa ameanza kumpandishia Sizwe na kuanza kumpenda Linc(Linc anamuita Zuki) inavyoonesha mda si mrefu atateleza.
Cal ndio drug kwa kwenda mbele.
Skhu kachimbwa bit hakuna kwenda New York.
Na Mengine ni ya Mtoto mzuri Sam na Rajesh
Huu mtiani mwengine kwa Sizwe baada ya ule wa Pastor Gabriel,Halafu leo Linc anazidi kujichanganya tu kuhusu Katlego.
 
Huu mtiani mwengine kwa Sizwe baada ya ule wa Pastor Gabriel,Halafu leo Linc anazidi kujichanganya tu kuhusu Katlego.

Moyo wake wa lion unaisha unaanza kuwa waswala! Soon atatoa siri maana damu ya mtu nzito! Mara oooh I'm in control basi tu skhu anashindwa kuunganisha dot.
 
Back
Top Bottom