Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

In breif ni hivi.......

Angelique na jean wameingia kwenye mzozo mkali sana, kiini cha tatizo ni calvin ameingia kati yao jean hapati muda to spend with Angelique, jean kamfuata calvin kamaind almanusura ammeze calvin, kidogo ngumi zingetokea jean kapandwa na jaziba yakutosha

Tyson is back tataaa movie linaanzia hapo.... Hahahahah Tyson amefikia anataka kujuwa what happened to dada yake, lincon kamdanganya kuwa katlego ameondoka amemuacha na kumtuhumu alishirikiana na Nina kumtorosha mtoto, Tyson is like what... So Tyson akauliza dada yake ameondoka alikuwa katika situation gani, lincon akamdanganya alikuwa hajielewa anafanya nini akaondoka kwenda Maldives, Tyson akasema hataondoka mpaka katlego atakapo rudi mzima na salama basi lincon akatoa machooo,

Tyson ninja mwenyewe akaona haitoshi akamuendea Nina kumuhoji alitaka kwanini alitaka kumtorosha HIS NEPHEW hapo sasa Nina akanza kumwambia unamjua lincon vizuri, baada ya pale Tyson akaanza kudadisi kwa kuuliza maswali kwa Zukisa wakati anaongea na zukisa tu mzee wa kazi anaingia lincon mstuko mkubwa ukatanda... Utaipenda tamu kinyama
 
Alafu huyo doctor jean mbona ana lalamika sana nakumbukua kipindi flan alikua na rasta zake alisepa bila kuaga na alivyo rudi alikua anaficha kuongea na ange Ila saiz linajidai lina hasira nakutaka Ku force vitu
 
Huko Lincoln anakoelekea sijui, kaanza kuwa chizi, mwisho wa siku atajipeleka mwenyewe polish!
 
Kesi ya jamaa na Ange wakati ule nadhani nitofauti kidogo na hii ya sasa ambapo unaona kabisa Calvin anataka kumchukua Ange.
 
Jana imekuwaje jamani nisimulieni
Kwa sebeko kuliandaliwa party.. Linc anaanza kuona maruweruwe anamuona Kat anakoelekea atadata. Kevin ameanza kubwia unga,Angie anataka kurekebisha uhusiano wake na Jamal
 
Back
Top Bottom