Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

hawajakutwa.... ila Leo wamkutana The Rec akamwambia kuhusu kutoka kusepa Pent House... sasa Calvin alimdanganya Aphiwe anaenda mishe tu wakati anaenda kuongea na Kat hapo Kat anamwambia Cal that's why I always love U .... Kumbe nae anawafatilia nyuma... Kakamaind wakaishia kugombana tu.

Lincolin anamsisitiza Kat wazungumze wamalize tofauti for the sake of the baby
Unahisi huyu mzee Sibeko maneno yake anapomwambia Kat kwamba wayamalize yanatoka moyoni kweli? Wakat ameshasmell monkey business....haelewi kinachoendelea kati ya Kat na Nina na haelewi kinachoendelea kati ya Kat na Calvin bad enough anataka kumkiss pale nursery room mama kakwepesha mdomo kukataa kiss.
 
Hii series nitapata wapi? Huwa naingia kwa muda, baada ya muda natoka. Ngumu sana kufuatilia,lakini ni nzuri sana.
 
Sio wanawake wote wapo hivyo... Wa sampuli hiyo hajiamini ktk penzi alilopo
Hapo ndio unaipenda isidingo coz ni uhalisia uliza mtu ambaye amewahi kutoka na kademu ka olevel au advance ukikapa namba utatamani simu utupe kwenye maji
 
Sam kachezea sana nafasi ya kupendwa na Brad...ila mimi nilijua bado Brad anampenda Sam nimeshangaa yale maneno kumtoka.....leo ni kupatwa kwa penzi kwa kweli dah!!
 
Sam kachezea sana nafasi ya kupendwa na Brad...ila mimi nilijua bado Brad anampenda Sam nimeshangaa yale maneno kumtoka.....leo ni kupatwa kwa penzi kwa kweli dah!!

Sam alikua analeta mapenzi ya kideo....ndio akome.

Na hii iwe fundisho kwa wadada wa humu jf, tukiwatokea msizingue vinginevyo tutawatenda kama Sam.

Mwanaume sio mtu wa mchezo mchezo, eboooh!
 
Back
Top Bottom