Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

yani nimetoka mkuku nilikokuwa nafika nakuta wanaludia da nikajiwekea zangu ID EXTRA
Id extra inanisumbua sana maana iko kifurushi cha hela nyingi afu uwezo mdogo nakomaa nayo kwa shida sana mwezi huu "I almost got away"but I was caught
 
He he heeee kiruuuu..
Sasa bora waseme tutarudia hii tamthilia kwa muda wa mwezi mmoja manake hili neno kwa Leo halina maana tena mfyuuuuu....
 
Back
Top Bottom