Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Isidingo ni tamthilia ya muda mrefu halafu taste ipo pale pale kila siku inazidi kuwa katika ubora wake, hata ukikaa miezi mingi hujaangalia ukirudi kufuatilia siku moja tu na muendelezo unaeleweka ipo goodie sana
Jana kuna dalili ya Skhu kuanza kupima oil
 
Tayari OTE="Gronkjaer, post: 16924720, member: 137768"]Nahisi amepima oil[/QUOTE]
Tayari ameshagonga mzigo, shahidi wakati anamtoa Sku asubuhi ni Zukisa..
 
Jana kuna dalili ya Sbhu kuanza kupima oil
Mkuu katika couple nategemea kuipenda na kufuatilia kwa ukaribu kwenye isidingo ni hii mpya kati ya skhu vs Nikiwe... Nimetokea kuipenda sana sitapenda wazinguane aisehh
 
Linconlin anapoelekea ataanguka, hajuwi tu kama anacheza na nyoka, hiyo Strategy anayotumia kumuangamiza Nina ni failure strategy , sahivi katengeneza bifu kati ya katlego na Nina aisehhhh anapotea huyu jamaa
 
Hili jambo la Nikiwe kusema ohh Frank angenishauri hivi ohh angesema hivi kwa skhu sio jambo la busara. Kwann mtu ulinganishe mpenzi wa sasa na mpenzi wa nyuma? Hili sio
 
Hili jambo la Nikiwe kusema ohh Frank angenishauri hivi ohh angesema hivi kwa skhu sio jambo la busara. Kwann mtu ulinganishe mpenzi wa sasa na mpenzi wa nyuma? Hili sio
Ana acting uhalisia, ukimpenda sana mtu na ukampoteza huwa inatokea kumkumbuka unajikuta automatic kumzunguzia, ingawa ni jambo linakera sana ila huwezi kulikwepa
 
Hili jambo la Nikiwe kusema ohh Frank angenishauri hivi ohh angesema hivi kwa skhu sio jambo la busara. Kwann mtu ulinganishe mpenzi wa sasa na mpenzi wa nyuma? Hili sio
Nikiwe and skhu are back in track, that was part i love most today on isidingo
 
Back
Top Bottom