Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
feature.jpg


Kama umeangalia angalia hizi movie nisaidie nijue ipi nzuri niitafute, naweza Google lakini ntakuwa sina uhakika kama itakuwa nzuri, nahitaji za dizaini ya troy, alexander, braveheart, 300 spartans, game of thrones etc.

ORODHA NA MAPENDEKEZO YA FILAMU NZURI TOKA KWA WADAU
1. Enemy at the Gates.
2. 300 (The Franchise).
3. Dunkirk.
4. Fury.
5. Hacksaw Ridge.
6. Brave Heart.
7. The Kingdom of Heaven.
8. Valkyrie.
9. We were soldiers.
10. Allied
The Bridge at the River Kwai (ya zamani mno, niliipenda kwa namna walivoweza kuifanikisha wakati tech ikiwa ndogo kipindi kile)

The Enemy Below (bahati mbaya sana hatuna movie za battle scene za Navy, hii ni mojawapo inayoonesha kazi za U-boat zilivyokuzilivyokuwa ngumu)

The Bridge Too Far (director huyu anajua sana, na historia haikukosewa kabisa kwenye movie hata mazingira yalikuwa yaleyale. Siwezi ichoka hii)

Saving Private Ryan (movie pekee yenye Vin Diesel niliyoimaliza na ni kwakuwa sio yake maana aliletwa tu na ikampa kicking start)

1917 (achana na huyu director, anajua sana yani sana)

We Were Soldiers (Mel Gibson hajawahi kosea)

Hacksaw Ridge (kuna muda nitaichoka)

Greyhound (sijaiona lakini nishasoma kwamba imekosewa historia yake, na kwakuwa story ya battle ilivyokuwa naijua kichwani basi ikikosewa sana haitanishawishi. Nataraji itakuwa nzuri tu)

NB: Nina sababu za ajabu zinazonifamya nipende movie au kuichukia. Mojawapo na uhalisia, yale mamovie ya Kihindi siwezi. Mara nyingi movie ninazopenda watu hawazitaki.
1. Enemy at the Gates.
2. 300 (The Franchise).
3. Dunkirk.
4. Fury.
5. Hacksaw Ridge.
6. Brave Heart.
7. The Kingdom of Heaven.
8. Valkyrie.
9. We were soldiers.
10. Allied
Ebana eeh kwa upande wangu ni:
  • Hamburger hill
  • Platoon
  • Platoon leader
  • Field of fire
  • Nam angels
  • The hard way
  • Saving private Ryan
Nilifanya kosa kubwa kuisahau Hacksaw ridge
1. The forgotten warrior (mtu alioiona hii movie atakuwa mbabe kweli)
2. Saving private Ryan (kuna jamaa ana shabaha umu si mchezo, masterling wote wakafa, Vin Disel kaja kama fala flani humu)
3. Appocalypse Now (kama hujaiona achana nayo itakutia wazimu)
4. Guns of Navarone (siikumbuki vizuri, ya zamani sana)
5. Dirty dozen
6. Tuskeege Airmen
(mchango wa African American 2ww)
  • Black Hawck Down
  • Saving Private Ryan
  • We were Soldiers
  • Furry
  • Hacksaw Bridge
  • 13 Hours in Benghazi
  • Enemy of the Gate
  • Dunkirk
  • 1917
NB. Zipo nying sana. Kuna moja ya South Korea vs North Korea war kaigiza Liam Nelsen
ALIAS series

Alias is an American action television series created by J. J. Abrams which was broadcast on ABC for five seasons, from September 30, 2001, to May 22, 2006. It stars Jennifer Garner as Sydney Bristow, a CIA agent.

The main theme of the series explores Sydney's obligation to conceal her true career from her friends and family, even as she assumes multiple aliases to carry out her missions. These themes are most prevalent in the first two seasons of the show.

A major plotline of the series was the search for and recovery of artifacts created by Milo Rambaldi, a Renaissance-era character with similarities to both Leonardo da Vinci andNostradamus. This plot and some technologies used in the series place Alias into the genre of science fiction.

The series was well received among critics and has been included in several "best of" lists. Alias was in the American Film Institute's top ten list for television programs in 2003.[1] The show also received numerous awards and nominations.

Na nyingine inaitwa Homeland
  • Murder at 1600
  • Fugitive X
  • The Fugitive
  • The Real McCoy
  • Knight and Day
  • Mission Impossible zote
  • James bond zote (Gold finger, Octopussy, Lisence To Kill, Diamonds are Forever, Skyfall, Never say Never)
  • Johnny English ya Mr Bean,( huwezi kuamini! anza nayo)
  • Sleep Over Bandits
  • Showdown in Little Tokyo
  • Movie za Wesley snipes ( Liberty stand still, Passenger 57, Blade)
  • Movie za Tommy Lee Jones na Denzel Washington
  • Badboys zote
  • Blue Streak
  • Need I say more?
  • White house down
  • Olympus has fallen
  • Homeland (Series)
  • G.I Joe Retaliation
  • C.S.I miami
  • C.S.I new york
  • Wanted (Series)
To be continuied--
1. The Recruit (1,2),
2. Spy Game,
3. Mr and Mrs smith (1,2),
4. Mission Impossible 1-4,
Bourne (5.identity, 6.Supremacy, 7.ultimutum),
8. Colombiana,
9. Breach (1, 2),
10. The Manchurian Candidate (1,2), casino royale nk. Nitarudi
Movie kali 2015 na 2016 kwang
1. London has fallen
2. Down justice (superman and spider man)
2. Civil war
3. Gods of Egypt
4. Root
5. The marine 4
5. X men apocalypse
Hapa nitaweka baadhi ya filamu kali za kivita. Zilizoshikilia chati na bado zinaendelea kushikilia chati.

vigezo: #uhalisia wa matukio #uhalisia wa waigizaji #uhalisia na mvuto wa stori #mandhari iliyotumika # ubora wa picha na sauti.

1. The Thin Red line
2. Saving Private Ryan
3. Full Metal Jacket
4. We were Soldiers
5. Fury
6. Dawnfall
7. Enermy at the Gates
8. The Bridge on the River kwai
9. Behind the Enermy lines
10. Letters from Lwo Jima
11. Saint and Soldiers
12.Black Hawk Down
13. Platoon
14. Apocalypse Now
15. Hamburger Hill
16. Company of Heroes
17. The last Rescue
18. The Front Line.
Haya twendeleeee.....
100. Fifty Fifty (1991)
 
Kitu 300 hakuna mfano hapo, ikifuatiwa na Gladiator.
Simply the best 10/10
Shua mkuu spartans battle skills zao zilikuwa noma bila yule Mgiriki kuwasaliti wapersia walikuwa wanaisha, gladiator ni nzuri pia inaonyesha difference ya trained and untrained soldier pia.
 
Kwa wadau wa movies embu niambien movies mpya kali za action au vita ambazo ni nzuri kwa sasa.
 
Ni mda sana sijaangalia movie za aina hii ambazo ziliteka hisia zangu asa nikiangalia nyakati za usiku movie hizo kama
ESCAPE FROM SOBIBOR
SOMETIMES IN APRIL
TEARS OF THE SUN
HOTEL RWANDA
SHOOTING DOGS
AMAZONIA
13
FROM THE DUSK TILL DOWN

Nna nyingine zinazofanana na izo kwa anayejua movie kali zinazoendana na izo please let me know ili nizitafute nimemis sana those kind of movies
 
Jamani mmh,wana jamii mnamajibu mabaya mtu kama una roho ya glass utajitoa mapemaaa,ona sasa na wewe kihele hele kuandika kwenyewe hujui eti nsuka,mweeh pole

kihele hele changu kimeniponza haya nsyuka sehemu ya tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom