wapendwa nawasalimu, AMANI IWE NANYI!

Pia iwe nawe.karibu mchungaji.uje ushirikiane na wenzio vizuri.
 
Samahani mchungaji nililala halafu nikasizia.Amani ya bwawana iwe nawe pia.
 
Mbarikiwe watoto wa Mungu. nawashukuru sana kwa kunikaribisha nawatakieni maarifa mema katika kuelimishana!
 
Karibu sana katika jamvi utajifunza mengi sana hapa nakufaidika kama wengi wetu ilivyotutokea.
 
Ila bahat mbaya humu hua ha2changishan sadaka baba mchungaji.
 
Karibu mpaka chumbani. baba mchungaji. nafikiri utaliunga mkono wazo langu la kuomba jukwaa la dini/imani lirudishwe.
 
Nilisafiri, narudi tu nakuta mgeni ndani ya kunyumba, teh teh teeh!! vipi wamekupa juisi ya pilipili hawa jamaa zangu??
 
Karibu mpaka chumbani. baba mchungaji. nafikiri utaliunga mkono wazo langu la kuomba jukwaa la dini/imani lirudishwe.

ubarikiwe kwa kutaka kuwajenga watu kiimani. wazo lako naliunga mkono kwakuwa ni jema sana, na litatusaidia kujuwa maandiko, na kumjuwa Mungu mwenyewe. kwakuwa imeandikwa kumcha Bwana ni chanzo cha marifa!.
 
nawashukuru wana jamii forum kwa kunipokea na kunikaribisha. nawatakieni amani!.
Baba mchungaji.............amani iwe pia kwako,hongera kwa kupokelewa nami pia ninakukaribisha...............wewe,mama chungaji kama yupo na hata wana kondoo unaowachunga kwa mikono miwili,mjisikie mkuo nyumbani....................hawajambo huko unapotokea,......?
 
Karibu.. manake duu.. sijui itakuwaje katika kuwatofautisha na baba mchungaji wetu tuliyemzoea.. Namaanisha Masa..
 
Karibu.. manake duu.. sijui itakuwaje katika kuwatofautisha na baba mchungaji wetu tuliyemzoea.. Namaanisha Masa..

Nimekuja kufanya kazi kwakuwa neno la BWANA katika kitabu cha Isaya 35:1 linasema `Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi.

Isaya 35:3 - 4 linasema `Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyo legea. Waambieni waliona moyo wa hofu, jipeni moyo, msiogope,; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi.


kwahiyo haina haja kuwa na hofu kuwa sijui itakuwaje. tumuombe Mungu ili atutangulie kwa kila jambo. kumbuka Mungu katika kitabu cha Warumi anasema Rum 8:31 Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?

Ubarikiwe sana mtu wa Mungu!
 
Back
Top Bottom