Wapendwa msiharibu chakula hata kidogo

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu zanguni wapendwa,

Niko na kaka yangu mmoja mchungaji ametoka Sudan yeye alienda zaidi ya miezi mitatu kwa ajili ya kuiombea Sudan...amepita katika mapito mengi sana lakini Mungu wa kweli alionekana katikati yao ...ilikuwa ni prayers za wachungaji wa east Africa yeye Mungu akamchagua kuwepo ndani yao walipofika walikuwa 68 lakini jinsi walivyokuwa wanasali na kuendelea kumwomba Mungu wameona mambo mengi sana moja wapo ni mateso ya chakula.

Nashukuru alikuwa na adabu siku nyingi sana lakini amerudi na wito kwa watanzania tuwaombee wasudan..walikuwa wanatembea na gari mtu mmoja akawambiaa huko mnapoenda kuna jamaa wa alshabab wata wamaliza akawambia wenzake jamani Mungu ninaemwamni atatuongoza
waliwa wamefika sehemu malaika akamwonyesha watu wanalia sana sana na viungo vya watu vimetapakaa
akasema washuke wakajifiche sehemu aikuchukua dk 30 lile kabasi walichokodi kirushiwa kitu kikaanza
kuwaka moto wakaomba Mungu sana maana jamaa asbh huwa wanarudi nyuma...ilipotoka mwanga wakaanza
kurudi huku wamefunga.

Namshukuru Mungu wamemwaga annointing oil ya baraka juu ya wasudan, blood ikamwagwa kwa ajili ya kusamehe dhambi zao waliouwa wenzao...hakika anasema wanaitaji maombi yenu.

Unaweza shangaa lakini akihadithia ni story ndefu walipokutana 68 wakaanza kutembea sehemu mbali mbali waakafika sehemu wakambiwa mnajua hii sehemu na mnapoelekea kuna watu walikuja hapa waganda na wanawake wawili mnaona yale makaburi wakauliza vipi wakadai walipoanza akutaja Mungu, Mungu wakaitiwa kelele wakazunguka gafla akaja kiongozi wao mmoja akasema hawa wanawake waingizeni mvijiti masikion mpaka itokee upande wa pili..

Hakika awakuchukua masaa wakafa yule mchungaji na wasaidiizi wao walipigwa risasi za mdomoni hakika ukiw a umeitwa na mungu akuna kinachoshindikana anasema baada ya ile story zaidi ya 40 wakasema turudini tutafia huku hata watuchimbie humu tushindwe kuzikwa na ndugu zetu akasema wakabaki 28 wakasonga mbele lakini waliposhuka kwenye gari lilipowashwa moto waliondoka wengine wakarudi wakaabaki 8 na maombi ya kufunga na walaipo rudi mjini walikuta wawili tu..wamebaki wanwasubiri waondoke zao.

Ndugu wapendwa mkiwa kwenye maombi ikumbekeni sudan ya kusini mungu awalinde katika kuongoza
nchi ile.
 
Back
Top Bottom