Wapendanao

Nasubiri za wazee WEUSI kama mimi wapendanao.
I bet hizo kuzipata kwake ni kama unachimba dhahabu, ha haaaaaaaaa
 
.
Nyie Fixed Point na Edo mna lengo gani? ... mna maanisha nini ... mnachokimaanisha wala hakiko hivyo .... kwa hiyo mnataka kumaanisha hakuna couple wazee weusi?! .... let me prove you wrong!

url

Na hapa Je?

url

herbert_and_zelmyra_fisher__photo_credit_dl_anderson.jpg

Meet Herbert and Zelmyra Fisher of North Carolina. They have been married 85 years (86 in May) and hold the Guinness World Record for the longest marriage of a living couple and get this…. Zelmyra is 101 years old and Herbert is 104.
 
.
Nyie Fixed Point na Edo mna lengo gani? ... mna maanisha nini ... mnachokimaanisha wala hakiko hivyo .... kwa hiyo mnataka kumaanisha hakuna couple wazee weusi?! .... let me prove you wrong!

url

Na hapa Je?

url

ha haaaaaaaaaaaaaa, picha zao ni kama wamelazimishwa......................... hawaja-relax.................... yaani kama wameambiwa kaeni hapo tuwapige picha za kuweka mtandaoni..................... siyo natural.......................
 
Hayo yako hayo sasa! ... una jambo unalolitafuta wewe siyo bure! ... haya na hawa hapa chini na wao wamelazimishwa?

url

hapa safi....................... naomba kuuliza, hawa ni raia wa wapi? Kenya, uganda, TZ, msumbiji........?
.
Haya bana Fixed Point yaani ni mbishi sijaona - sasa hivi unataka kuulizia ni nchi gani?! ... ngoja nikupe ya Tanzania kabisa kijijini alafu tuone kama bado unataka ku-prove idea.

SE-CA-Mlomp-0012_xlarge.jpg
 
jamani jamani, hao wa juu ndo wale niliosema wa kulazimishwa.
hao niliowapiga na LIKE, kama hawajaoana siku za karibuni, basi wanaibana...................
 
Kwa hili nakubaliana na wewe kidogo .... umenikumbusha kuna mtu alishawahi kuniambia kwa Waafrika asilimia kubwa kuwa ukiona kwenye gari mbele kama kuna watu wawili wamekaa Mwanamme na Mwanamke ... kama wanacheka na wanaongea kwa furaha basi ujue kuwa ni penzi jipya pia siyo mke na mume .... Alafu eti kama wamenuna / hawaongei na kila mtu anataimu yake basi ujue kuwa hao ni mume na mke! ... kuna ukweli asilimia kubwa!
 
kama mkaazi wa Dar na unakuwa sana kwenye zile foleni asubuhi, utaliona sana hili
 
Wajameni wote weusi wa majuuu. Tunataka wa kibantu kwelikweli, wakwere, wajaluo, wangoni , wanyalu nk.!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom