Wapendanao na 2010!! Happy New Year!!

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
552
........Hallow wapendwa wa jukwaa hili la malavidavi na urafiki,
I hope mlienjoy vizuri mwaka 2009 kwenye uhusiano, kwa wale wasienjoy basi hayo yalikuwa ni mapito tu maana kwenye mahusiano sio kila siku ni tambarare, kuna milima na mabonde.
........ 2010 is just around the corner, hivyo msisahau kuukaribisha mwaka kwa upendo na kuanza mikakati mipya ya kuimarisha penzi lenu/mahusiano yenu. Maana kama mjuavyo tena kwenye mapenzi/uhusiano inabidi ubuni vitu vipya kila siku ili penzi lizidi kuonekana jipya na kunoga kila siku.

........:)Nawatakia heri hiyo 2010, uwe mwaka wa mafanikio na furaha tele.
 
Back
Top Bottom