Wapenda wabeba maboksi

Si kajitambulisha hapo juu?
Au unafanya kuuliza tu.Yule atakaejichekesha chekesha badala ya kujibu swali NDIE.
Mimi ni mbeba box mstaafu, sasa ni mjasiliamali tu hapa mjini, i think huyo mchuchu yuko interested na mbeba box, si unajuwa tena mambo ya Viza na kwenda mamtoni! lazima avuwe chupi.
 
Mimi ni mbeba box mstaafu, sasa ni mjasiliamali tu hapa mjini, i think huyo mchuchu yuko interested na mbeba box, si unajuwa tena mambo ya Viza na kwenda mamtoni! lazima avuwe chupi.
Watapeli. . . wengi wataingia mkenge.
Unawaambia tu wewe ni agent wa kuombea watu visa, na unachosema wewe goes.

Alafu acha uchokozi hapo chini.
 
Wiki ijayo tutakuwa tuko bize sana. Si mnajua tena mambo ya Noeli na mwaka mpya. Mambo ya vi-packages, ma gifts, ma presents...watu tutakuwa tunapiga schedule (wabeba maboksi tunatamka skejo) kama hatuna akili nzuri. Ma double double tu lol.

Wazee wa UPS, FEDEX, DHL, USPS, Royal Mail, Walmart, Sam's Club,Target, Ross, Sainsbury's, Tesco na kwingineko, tukipotea mjue tunazitafuta.
 
Usisahau dili la valee paking pale Capitol/the mall/ white house siku ya mwaka mpya, lazima tutengeneze buku siku hiyo.
 
NN, nitaftie mwenye umri miaka 80+ manake natafuta eda mie. Hivi unena boksi hauna pensheni?

Boksi lina benefits kibao...ila inategemea na sehemu mtu anapoligia. Najua kwa uhakika sehemu nyingi sana zina retirement benefits kama 401(k) ambayo ni aina ya retirement savings account.

Ukibahatika kupata employer anayematch contribution yako dollar for dollar inakuwa mwake sana. Ila hata ukibahatika anayematch .75 cents for every dollar nayo si haba.

Pia kuna aina zingine za retirement plans ambazo si 401(k). Let me know if you are interested in the nitty-gritty details and I'll be more than happy to break it down for you so you can make an informed decision.
 
hahahah asante NN bila shaka wale walio single and looking na wanapenda vijana wa uloyo uloyo watakuPM
Na wewe uko kwenye hiyo List broda?
 
Back
Top Bottom