Wapare na mambo ya chini.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
wazee wa kipare walikuwa kwenye mkutano baada ya mjadala mrefu mdee akasimama,MWENYEKISHIsikubaliani na mjumbe aliyeondoka. kusikia hivyo mzee mrindoko akadakia NEKITAJA AVAEEEEEEEEEEEEEEEEE,KUSIKIA HIVYO WAZEE WOTE WA KIPARE WAKAANZA KUSHANGILIA NA MKUTANO UKAISHIA PALE.
 
Kwelipo hata mimi thijaelewaga japo mimi mpare nuthu na muchaga nuthu......muhuu
 
wazee wa kipare walikuwa kwenye mkutano baada ya mjadala mrefu mdee akasimama,MWENYEKISHIsikubaliani na mjumbe aliyeondoka. kusikia hivyo mzee mrindoko akadakia NEKITAJA AVAEEEEEEEEEEEEEEEEE,KUSIKIA HIVYO WAZEE WOTE WA KIPARE WAKAANZA KUSHANGILIA NA MKUTANO UKAISHIA PALE.
mh!! hata sielewi, plz changanua sentensi yako mkuu
 
nna damu ya kipare lakn nimepotea, fafanua tafadhali, ili tuende pamoja
 
jamani kama hamuwajui wapare hamuwezi kuelewa,ni kwamba wapare wanapenda sana ngono kiasi kwamba hata ukikitaja hicho kiungo cha kike utawajua tu.

kishi ni hicho kiungo sasa huyu mdee alikosea badala ya kusema mwenye kiti kwa kuteleza ulimi akasea mwenyekishi ndipo wazee wote wakalipuka kwa furaha kuwa AMEKITAJA JAMANI yaani kishi.
 
Nimesoma mpaka mwisho sijaona tatizo, Ameamua na yeye kutoa ka thread tu hana jipyaa ! Wapare tuko juu kama Migiro
 
Back
Top Bottom