Wapangaji wa nyumba dar kama wana wa israel nyikani

Huyo pengine ana afadhali, nina mdingi wangu mmoja yeye hajawahi kupanga tangu enzi za ujana wake wote, alijaliwa kuwa na mijumba tele. Baadaye alikuja kupata kimwana akamwendesha, akauza nyumba zote. Hakupanga ujanani amekuja kupanga uzeeni.

Huyu naye mwisho wake ni vipi?

Huyu mwisho wake atakuja kuomba hifadhi kwenu anaelekea kufulia katika maisha
 
Huyu mwisho wake atakuja kuomba hifadhi kwenu anaelekea kufulia katika maisha

Hakutulia na mkewe akapata nyumba ndogo ikafilisi kila kitu. Amejiunga na club yetu ya wapangaji. Ila uzee bila pesa Dar hii, hasa kama ulikuwa ndo kibopa.

Just imagine watoto na wajukuu na nyumba ndogo na kubwa halafu ndo unapanga kwenye nyumba zetu hizi za Dar. Halafu mwenye nyumba amewahi kupanga kwenye nyumba zako zamani. Huyu dingi kafulia mazima.
 
Back
Top Bottom