wapanda baskeli uchi

Eeeh,uwe na ndogo au kubwa yote majaliwa!!Kuna wakati hawa watu wana michezo ya ajabu sana!!Kuna wakati pia kuna watu walikutana mahali uchi zaidi ya watu elfu tano,wake kwa waume.Utakuta wameoa na wengine kuolewa hapo.Muhimu Tuwaombee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom