Wapambe wa Marais Afrika ni wa kizamani mno

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
  • Picha ya leo
05_11_jhucqw.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Mawasiliano ya Simu Bwana Hamadoun Toure Ikulu mjini Dar es Salaam. Bwana Toure katika ujumbe wake alifuatana na Mwakilishi wa shirika hilo barani Africa Ms Asenath Mpatwa.
attachment.php

Rais Mugabe wa nchi ya Matebeleland akiwa Vatican City Rome - Italy na mpambe wake nyuma

Mapokeo ya Mpambe wa Rais na magwanda yake hata katika chumba cha pekee cha mazungumzo na wageni inatia kichefuchefu. Hii si kwa Tanzania tu, ila ni kwa mataifa mengi ya Kiafrika. Mfano majuzi hata Rais Mugabe wa Zimbabwe alionekana na mpambe wake Rome. Ingefaa kama wangejaribu kubuni njia ya kuwa na mpambe kisasa.
 
Hii ina dhihilisha kuwa nchi hii ina "Utulivu" tu na wala haina Amani! Ulinzi gani mpaka "sitting room"!
 
Hata mifumo yetu ya ulinzi na usalama haipo up-to-date, hapo unategemea nini?
Ona kama huyo Luteni Kanali hapo juu alivyosimama kama sanamu la kireno wakati watu wapo katika mazungumzo, ina maana hata Ikulu hakuna mfumo thabiti wa usalama mpaka wasimamiwe na mpambe, au amewekwa kama mtu maua kwa rangi ya hizo nguo?
 
Hii ina dhihilisha kuwa nchi hii ina "Utulivu" tu na wala haina Amani! Ulinzi gani mpaka "sitting room"!

Ulinzi hadi sitting room kwangu haiakisi ulinzi bali ni upambe tu. Sijaona mataifa mengine kama ya nchi za magharibi na asia wapambe kufuata mgongoni kama kumbikumbu. Hawawezi kujifunza huko wenzao wanavyofanya? Mbona mengine tunajifunza lakini hili linachefua
 
Hata mifumo yetu ya ulinzi na usalama haipo up-to-date, hapo unategemea nini?
Ona kama huyo Luteni Kanali hapo juu alivyosimama kama sanamu la kireno wakati watu wapo katika mazungumzo, ina maana hata Ikulu hakuna mfumo thabiti wa usalama mpaka wasimamiwe na mpambe, au amewekwa kama mtu maua kwa rangi ya hizo nguo?

Na kweli yupo kama statute vile, kwani angekuwa mlinze angekuwa na approach ya macho ya kuangalia usalama, lakini alivyo ni kusimama kwa ukakamavu tu kama wale walinzi wa kuingilia mlango wa ikulu walivyo kama mapambo ya kihistoria ya jemadari wa kirumi
 
siyo luteni kanali yule, ni kanali bana, acheni kuchezea fani za watu kama hamzijui!
 
Ni Uridhi huo, hamna mabadiliko Afrika, huo ni mfano mmoja tu wa vingine vyote, unakuta kitu kaanzisha fulani miaka 50 iliopita na hujuilizi ni nini, Aibu sana.
ni Sawa na Jina la DAR ES SALAAM ni matusi kwetu ukizingatia lilitokana na Sultani wa Zanzibar ilipopata urahisi wa kuvusha watumwa kitoka kijiji cha Mzizima, akaamua kupaita Bandari ya salam au amani. amani kwake sio kwetu, lakini nani atahoji?
 
Hilo limwanajeshi limekaa kama mlinzi wa watemi wa kale sijui huwa analinda nini hapo wakati JK ana ulinzi mahiri toka kwa shehe wa ukweli shehe yahya.
 
Na kweli yupo kama statute vile, kwani angekuwa mlinze angekuwa na approach ya macho ya kuangalia usalama, lakini alivyo ni kusimama kwa ukakamavu tu kama wale walinzi wa kuingilia mlango wa ikulu walivyo kama mapambo ya kihistoria ya jemadari wa kirumi

msemeshe usikilizie mziki wa harufu wa ya mdomo manake jamaa anaweza kaa masaa matatu bila kupiga miayo wala chafya. DUH KAZI NYINGINE NI MATESO BILA CHUKI.
 
Back
Top Bottom