Wapambe Wa Bi. Harusi Nao Wamo!

Allien, na wewe waoa lini tujezibandika zako. Mimi nabook kabisa kuwa mpambe...
MadameX huna haja ya kufanya booking. Picha zake wala hutataka kuzibandika maana kutakuwa hakuna migongo wazi, hakuna mapaja nje, hakuna vifua wazi wala milegezo. Wasimamizi wote full kanzu, bazee na bileku ya mpanya. Hazitakuwa na mijadala.
 
Last edited by a moderator:
MIKENYERO mwanzo mwisho, safi sana Wanyarwanda
2.jpg
 
Allien Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! siku nikiiona picha yangu humu nitakaa kimya maana intelijensia yako juu ya picha ni balaa tena zaidi ya ile intelijensia ya policcm
 
Wewe utakuwa ni mpiga picha picha za kitchen party, sendoff na harusi. Zinapendeza lakini
 
Hata mimi huwa najiuliza kama wahusika wanaridhia picha zao kuwekwa humu......
arifu....mapicha haya yapo online...

mie nalia na wapiga picha wanaokodiwa kwenye maharusi.....ndio wanaziweka kwenye blog zao......
 
Eeh, wewe!, je tabia zao anaziappriciate pia au ndio anataka kujitwisha magubegube walioshindikana!
Bwana harusi mara nyingi hugundua amechemsha siku ya harusi, kwani hawa wapambe huwa wanakuwaga wakali kuliko mkewe aliyepembeni yake, yaani mguu guu,,**** ****, jicho jicho.
 
Gharama kubwa sana inatumika kufanya jambo hili ambapo (kwa maoni yangu) ni moja kati ya mambo ya kijinga kabisa hapa duniani kwa mwanaume kuyashabikia.

Siku zote akili ya mwanamke iko hapo. Zile adabu zoote za kujifanyisha wkt unamchumbia ni ili tu aje ajaze watu na kuamini amependeza kuliko watu wooote hapa duniani kumbe ana uso mzito kama Muhaya. Huu ni ulimbukeni ambao utaenda ukifutika kidogo kidogo kama ulivyokuja, walah labda Kikwete aondoke madarakani leo.

NB: Asijitutumue Muhaya yeyote kuhoji kwa nini nimesema nilivyosema. Ninayo haki ya kikatiba ya kusema vyovyote juu yenu kwa kuwa hamjamaliza deni letu la bili ya kumtoa Iddi Amin alipokuwa anawaua na kuwaoa kule Kyaka
 
Basi wenyewe wanajiona kama sehemu ya Malaika wa Mungu kwa hayo mavazi ya Remtullah, kumbe ni vilaza tu na wengi wao walifeli form II na kazini wamewekwa kwa kugawa uroda.

Mwanamke wa maana mkute yuko kwenye pilikapilika zake anachota maji halafu kalowa sehemu zake za kukalia
 
Mkuu unazipata wapi hizi? Manake wengine nawafahamu na wengine nawajua!
 
Back
Top Bottom